Latest Updates

KHADIJA KOPA MBIONI KUANZISHA KUNDI JIPYA


                   
Kuna habari kuwa mwimbaji nyota wa muziki wa Taarabu hapa nchini Khadija Omar Kopa .yuko katika mipango ya kuanzisha kundi lake la muziki nje ta TOT.
Habari za uhakika kutoka kwa watu wa karibu na msanii huyo zimeeleza kuwa tayari Khadija  ameshaagiza vyombo vyipya kwa ajili ya kundi lake hilo.
Kwa sasa bado Khadija Omary Kopa ni mwimbaji na Mkurugenzi Msaidizi wa kikundi cha sanaa na maonyesho Tanzania One Theatre (TOT)...

Related Post:

0 Response to "KHADIJA KOPA MBIONI KUANZISHA KUNDI JIPYA"

Post a Comment