Latest Updates

BRAD PITT AMZIMIA LUPITAMume wa Angelina Jolie, anayejulikana kwa jina la Brad Pitt inadaiwa kumzimia mwigizaji Lupita Nyong'o hali iliyopelekea mwanaume huyo kugombana na mke wake kwa kitendo hicho.

Hali hiyo ilijionesha kipindi ambacho wapo kwenye tuzo za watayarishaji wa filamu zilizofanyika Beverly Hills january 19 mwaka huu.

0 Response to "BRAD PITT AMZIMIA LUPITA"

Post a Comment