Latest Updates

ALI KIBA AKIFANYA YAKE STUDIOMSANII wa muziki wa kizazi kiya nchini Ali Kiba ameonekana akiwa yupo studio na mtayarishaji wa muziki huo Lamar wa Fish Crab ambapo inadaiwa alikuwa akikamilisha wimbo wake mpya unaojulikana kwa jina la 'She Makes My Day'

0 Response to "ALI KIBA AKIFANYA YAKE STUDIO"

Post a Comment