MSANII wa Hip Hop kutoka nchini Marekani Kanye West amelipa zaidi ya
shilingi milioni 400 kwa ajili ya watu wanaompamba mama watoto wake Kim
Kardashiana .
Msanii huyo ambaye amekuwa akisindikizwa na mchumba wake katika ziara
zake mbalimbali za kimuziki nchini Marekani ambapo amekuwa akihakikisha
kuna watu kwa ajili ya kumpamba nywele Kim na kumfanyia make-up kwa
mitindo yote mahali popote wanapohitajika.
Chanzo kimeutonya mtandao wa RadarOnline.com kuwa Kanye anatumia kiasi
chochote kuufanya muonekano wake kuwa tayari kwa upigaji picha mkubwa
muda wowote akitaka hivyo .
0 Response to "KANYE WEST ALIPA MILIONI 400 KWA AJILI YA KIM "
Post a Comment