Latest Updates

Show ya Cheusi dawa Uraibu wa Ushairi


Kampuni ya Cheusi Dawa ambayo ipo chini ya msanii wa muziki wa kizazi kipya miondoko ya Hip Hop Faridi Kubanda 'Fid Q' jana ilifanikisha kwa mara ya tatu kufanya shoo ya Uraibu wa Ushairi 'Poetry Addiction' iliyofanyika kwenye ukumbi wa Triniti jijini Dar es Salaam.

Shoo hiyo ambayo ilikuwa na lengo la kuamsha jamii ya washairi na fikra mbadala juu ya mambo yanayowazunguka ambapo jana mashabiki waliohudhuria walishuhudia wasichana pepekee wakitumbuiza wakiwemo Aichi, Kethi, Charlotte O’Neal maarufu kama Mama C, Jade, Vanessa Mdee, Grace Matata, Elizabeth Mwakijambile na wengine

BY Pro24

0 Response to "Show ya Cheusi dawa Uraibu wa Ushairi"

Post a Comment