
Kendu aliweza kumuelezea mwanamuziki huyo athari za ulevi wa kupindukia kitu ambacho wanaume wengi walishindwa kukifanya hali iliyopelekea mwanamuziki huyo kukubali kuolewa.
Mary aliweka wazi kuwa wakati amejiingiza katika matumizi ya dawa za kulevya na ulevi uliopindukia rafiki na ndugu zake walishindwa kumueleza na kuogopa kumueleza ukweli.
0 Response to "BAADA YA KUELEZEWA ATHARI ZA ULEVI AOLEWA "
Post a Comment