Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Sara Kaisi 'Shaa' anatarajia kuachia video yake mpya ya wimbo wa 'Sugua Gaga'.
Akizungumzia maandalizi ya video hiyo Shaa aliweka wazi kuwa maandaalizi
ya video hiyo yameshakamilika kwani yameaandaliwa wiki mbili zilizopita
ambapo hivi karibuni itaanza kuonekana kwenye vituo vya runinga.
Aliweka wazi kuwa anaamini video hiyo itafanya vizuri kutokana na
maandalizi aliyoyafanya ikiwemo na kupiga picha ambazo zinazoonesha
uwalisia wa matukio
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Response to "SHAA KUTOKA NA VIDEO YA 'SUGUA GAGA' "
Post a Comment