Hivi karibuni mmoja kati ya wanamuziki wanaounda kundi la P Square Peter
Okoye alifunga ndoa na mwanadada Lola, na kupitia ukurasa wake wa
Instagram jamaa huyo aliamua kuweka picha nzuri ya mke wake Kwenye picha
hiyo Peter aliweka maneno haya 'Isn't she luvly and beautiful?'

Peter
Okoye na mwanamke huyo mpaka sasa wana watoto wawili mara baada ya kuwa
kwenye mahusiano kwa kipindi kirefu hatimaye wamekuja kufunga ndoa ya
jadi mnamo Novemba 17 ndani ya jiji la Lagos.
0 Response to "P-SQUARE ATUPIA PICHA YA KWANZA YA MKEWE MTANDAONI "
Post a Comment