Latest Updates

GARI LA KAMPUNI YA WEMA SEPETU LA LAGEUKA NYUMBA YA UZINZI

                              
Taarifa za sababu kubwa zilizopelekea Wema Sepetu kumtimulia mbali aliyekuwa director wake aliyefahamika kwa jina moja la Chid kuwa ni ufuska uliokubuhu kwa director wake huyo huku akitumia magari yake kama gest ya kumalizia haja zake.

Wema aliamua kuchukua maamuzi hayo magumu ili kunusuru kashfa kubwa ambayo ingeweza kuikumba kampuni yake"

Habari zaidi ziliendelea kusema baada ya kupata taarifa hizo aliamua kumtimua Chid kwenye kampuni yake ili kulinda heshima ya kampuni hiyo ambapo Chid na vijana walikuwa wakitumia gari hiyo kung'olea watoto wakali"

Unajuwa Wema ana mashabiki sana hata ile gari wakati mwingine alikuwa anavunja hata sheria za barabarani bila kufanywa chochote hii ilitokana na upendo wa mashabiki kwa Wema na wasichana wengi walikuwa wakiiona ile gari basi wanaingia wenyewe kwenye gari wakidhani ndani yuko Wema hivyo ilikuwa ni nafasi nzuri kwa Chid na wenzake kuwamaliza wasichana hao"

Alisema dada huyo Aidha baada ya taarifa hizo tulivuta waya kwa kumcheki hewani Chid na Wema ili kuthibitisha madai hayo ama kuna jingine lililopelekea kutimuana kwa bahati mbaya watu hao hawakupatikana kuzungumzia hilo hadi habari hii inaruka hewani:

0 Response to "GARI LA KAMPUNI YA WEMA SEPETU LA LAGEUKA NYUMBA YA UZINZI "

Post a Comment