Latest Updates

DIAMONDA APONDWA TENA BAADA YA KUPOST PICHA HII KWENYE UKURASA WAKE WA INSTAGRAM

Uwezekano watu walikuwa wameshaanza kuganga yajayo na kusahau kuhusu kile alichovaa Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz kwenye harusi ya kimila ya Peter Okoye wa P-Square huko Lagos, Nigeria Jumapili iliyopita.

Lakini leo Platnumz ameamsha upya mashambulizi mengine ambayo safari hii yanatokea kwa wabongo, baada ya kupost picha yake akiwa na vazi ambalo limekuwa gumzo kuanzia kwa wanaijeria waliomponda kwa kusema amechemka. Lakini picha ya leo imechanganywa na picha mbili za mastaa wa Marekani, kushoto Wiz Khalifa na kulia mchezaji wa Basketball wa timu ya Miami Heat Dwyane Wade, na sio kwamba ameweka picha zao tu bali picha zao wakiwa na mavazi ya suruali fupi ‘njiwa’ kama aliyovaa yeye.
Huenda alitarajia kuwa ‘prove wrong’ wote waliomsulubu kwa kumwambia amechemka, kwa kuwaonesha kuwa hata mastaa wakubwa huvaa hivyo, lakini hiki ndicho alichoambulia kutoka kwa followers wake wa Instagram..


[ @ ] kagebby: daimond am sory dear..bt smtyms u have to accept that u a wrong….what ever u do to justfy the situation makes it worse…..tunakubali talent yako bt….sorry dear UMECHEMKA MBAYAA….SO FANYA KAMA UNASAHAU HIVI HYO SURUALI YAKO KAMA YA JOKER AU CLOWN…..THEN TO MOVE FORWARD AU SIO..MKALI
.
[ @ ] mwatumu37: Diamond yani bora ungekaa kimya sasa hapo ndio umetibua kabisa! yani Huyu @realsarahcrystal amekudanganya hatujasema sio fashion kwanza kabisa sio kila stely enaendana na mwili wa mtu pili inatengemea ni wapi wewe ulienda culture wedding ungepaswa uvae kitamaduni zaidi nadhani uliona wanainger walivyo vaa acheni kumtia diamond kichwa nguo aliyovaa haiendani na shuguli soma comment kwa iyanya wanainger wamesemaje.tukubali kukosolewa

[ @ ] wildromann: Wiz n wade wote waliekwa fashion police tht hawajapendeza so usijipe moyo that u look like them NO

[ @ ] university_tz: now i can see how blind yu are @diamondplatnumz ! how stupid yu are bwana mdogo!…toa izo goggles zako feki aungalie the difference btn yu and’em….tunajua hiyo outfit ina exist ktk real world…bt not the way yu did…hao majamaa wamepiga suti za bei hatar hatar, yaan iyo style imeendana na uzur na bei ya suti zao! nw look at urself! angalia iyo shati ya tetroni uliyovaa! surual last time nimemuona nayo wema sepetu iyo! cheki na izo ngwasuma zako za manzese! shame on yu! swallow ur pride bitch and accept apo umebumaaa star wa tandaleee!! 

[ @ ] zushali: @diamondplatnumz fashion police. U need a stylist for real to dress u according to the occasion sio kutuvalia Michael jackson style wakati una masculine body 

[ @ ] sazaf: @diamondplatnumz naona ndugu yangu unakoenda kubaya inapnesha hujui tofauti alichovaa #wizkhalifa na alichovaa #waynewade kijana ni tofauti na huo mcharuko uliovaa wewe hebu angalia tofauti kijana usiwe msanii wa kucopy style za watu ww ni msaani wa tz wakilisha tz dah wao wamevaa suit bora na ww hio dnt touch ungevaa na suit kijana jiangalie sana ok

[ @ ] mwatumu37: Sikiliza mkasi @iamsheriangowi alivyosema omba ushauri kwake wa mavazi namkubali sana huyu jamaa wewe ni msani mkubwa uwe unakubali kukosolewa sisi Hatukuchukii wanao kumchukia ndio hao wanakupaka mafuta kwa mgongo wa chupa

[ @ ] kipereto unajuwa @diamondplatnumz tatizo sio nguo hiyo fashion yako ungesubiri siku nyingine sio harusi ya mtu ndio uvae hiyo then sio watanzania peke yao hata uko naija wamekusema vile vile angalia blog za naija.sisi wabongo tuna tabia hata kama myu amekosea hatuwezi kumwambia ukweli sijuwi kwanini mwambieni mtu ukweli ili abadilike na sio kumpa sifa za kijinga juzi kavaa hivyoo je akipata bahati ya kwenda obama si atavaa chupi.nakwanini mtu akisema ukweli mnasema chuki ,wivu sijui fitina halafu kumbe unasemanga comment za watu ok basi sawaaaaaa 

[ @ ] 55_star: Nimeipenda fashion yako@diamondplatnumz lkn msema kweli ni mpnz wa mungu kwakweli hujapendezaa kabisaaa c lzm kila kitu tuige jipange tena bro next time vaa kinachoendana na mwili wako.ila big up kwa kazi zako.
[ @ ] evaristnyororo: Bora umewaonyesha wabongo maana nchi mzima ilipinga ulivovaa kwenye wedding,halllaaa wasaf 

[ @ ] jaka_reynolds: Ile it was traditional wedding,so alitakiwa kuvaa accordingly,sio kuvaa iyo skin tyt ya wema.

[ @ ] 1989naa: @teddykaegele i dnt knw more abt fashion ila mmmmmh ,,,not hate …4 me , big No,,,hata fashion inaenda na sehemu husika,,yes ts fashion ila cna uhakika na uvaaji huu…katika tukio km hilo pia co kila fashion inampendeza mtu..nyingine ukiona hazikutoi sexy una acha,,sina uhakika kama D alipendeza,cmchukii jus maoni yng tu

[ @ ] bongosuper: I dont care abt that fashion ni hukupendeza afu haikuendana na diamond 

[ @ ] classychristianline :Hapana@diamondplatnums style hiyo ungevaa koti nawe ndo hapo sawa!

[ @ ] michanolive: Unekuwa kama katuni wa masudi kipanya @bongosuper wenzie wapo katika culture wedding et yy kaenda kavaa old school hahahahah mbutaaaaa @diamondplatnumz 

[ @ ] anniepeter : Xo lazima kuvaa kama wao kwani kazaliwa kwao? angevaa kama wao mngexema pia. 2badilike jaman hating null lol! 

[ @ ] najjimnadir: Hile ilikua traditional wedding, anatakiwa ajue nyakati na matukio sio fashion 

[ @ ] cierarockss: Sasa ungevaa Na suit afu hiyo siyo sehemu yake. Kama kwenye ile msiba ndo vazi kidogo LA harusi. Ila sio mbaya uzuri unajiamini kwahiyo ilionekana sawa

[ @ ] melbamesha: Ok Hun I am not going to criticise you because your trying but one thing I know you need to fire️ your stylist and hire a new one ASAP @diamondplatnumz … And the rest of you break a leg.. He is human

[ @ ] saidkitamo: cyo kila fashion itampendeza mtu kiukwel kwa hapa ulichemka vibaya pia ulishindwa kutofautisha nyakat myb kwenye birthday waweza kwenda na hko kivazi lakin kwenye wedding apana hlo ndo tatizo kubwa lilokuangusha kijana next tym kuwa makin coz nilitembelea ata kwA iyanya alipost pic hyo most of zem wamekudiss ww de way ulivyo vaa

0 Response to "DIAMONDA APONDWA TENA BAADA YA KUPOST PICHA HII KWENYE UKURASA WAKE WA INSTAGRAM "

Post a Comment