Baada ya kutemwa kwenye mkataba na kampuni ya Grand Pa Mr Nice amejikuta
akisaini mkataba mwingine na kampuni kubwa ya muziki nchini Kenya
inayojulikana kwa jina la Candy &Candy Records amejikuta akimtibuwa
tena meneja wake na kupotea kusiko julikana akiwa na baadhi ya vitu vya
lebo hiyo.
Kupitia mahojiano yaliyofanywa na mmoja ya chombo cha habari hapa jijini
Mkurugenzi wa lebo hiyo Joe Kariuki amedai kuwa hajaonana na msanii
huyo aliyesaini mkataba wa mwaka mmoja na kampuni hiyo kwa muda wa mwezi
mmoja
0 Response to "MR NICE ATAPELI TENA KENYA?"
Post a Comment