Latest Updates

BABA YAKE P DIDDY ALIKUWA MFANYABIASHARA DAWA ZA KULEVYA

Rapa P Diddy ametoa siri ya baba yake mzazi aliyejulikana kwa jina la Melvin Combs iliyokuwa ikimtesa kipindi chote hicho kuwa baba yake huyo aliyefariki dunia wakati yeye akiwa na umri mdogo alikuwa ni mfanyabishara wa dawa za kulevya.

Aliweka wazi kuwa anajivunia urithi alioachiwa na baba yake wa kutafuta fedha ingawa yeye anatafuta kwa njia ya halali.

BY Pro24

0 Response to "BABA YAKE P DIDDY ALIKUWA MFANYABIASHARA DAWA ZA KULEVYA "

Post a Comment