Latest Updates

MALUMBANO BAINA YA LADY JAYDEE NA JANUARY MAKAMBA


  

Haya ni baadhi ya malumbano yaliyotokea kwa mbunge wa Bumbuli Bw. January Makamba pamoja na msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Lady Jaydee kwa kile kinachodaiwa kuandikwa na mbunge huyo kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii juu ya ushindani unaofanywa na baadhi ya mapromoto ya kuwaleta wasanii kutoka nje ya nchi.

0 Response to "MALUMBANO BAINA YA LADY JAYDEE NA JANUARY MAKAMBA"

Post a Comment