Latest Updates

BREAKING NEWS : PAPII KOCHA WAREJESHWA JELA MAISHA BAADA YA WASHINDWA TENA


Ile hukumu ya rufaa ya mwanamuziki Nguza Viking na mwanaye Johnson Nguza 'Papii Kocha' imewarejesha jela maisha baada ya hoja za serikali za kukazia hukumu kuzidi zile za upande wa utetezi.Babu Seya na Papii Kocha walihukumiwa kifungo cha maisha jela mwaka 2004 baada ya kupatikana na hatia ya kuwanajisi watoto wa Shule ya Msingi, Mashujaa, Sinza jijini Dar ambapo wamekuwa wakikata rufaa mara kwa mara lakini wakagonga mwamba. Hukumu hii ya rufaa ndiyo ya mwisho kusikilizwa.

0 Response to "BREAKING NEWS : PAPII KOCHA WAREJESHWA JELA MAISHA BAADA YA WASHINDWA TENA "

Post a Comment