Latest Updates

CHRIS BROWN AMTOA MTU PUA


Muimbaji Chris Brown ameweka wazi kuwa anasumbuliwa na tatizo la hasira kauli ambayo imetafsiriwa huenda ikamsaidia katika jaribio lake la kukwepa kifungo cha miaka minne gerezani.

Muimbaji huyo ametoa kauli hiyo akiwa yupo katika chuo cha mafunzo ya kurekebishwa tabia alikopelekwa mwenyewe kufwatia na madai ya kumpiga mtu ngumi aliyezamia picha aliyokuwa akipiga na mashabiki wake ambapo ngumi hiyo ilimpelekea kumvunja pua mtu huyo.

0 Response to " CHRIS BROWN AMTOA MTU PUA"

Post a Comment