Latest Updates

Picha ya Obama aliyopost Rais Kikwete facebook leo kwenye album ya ‘The Historic visit’

President wa Marekani Barack Obama ameshaondoka Tanzania toka juzi lakini bado headlines zake ni kumbukumbu kwa Watanzania wengi mpaka sasa, sio kwa Wananchi wa kawaida peke yake lakini hata kwa President JK mwenyewe ambae leo ameipost hii picha kwenye facebook yake na vilevile page yake ya twitter. Pamoja na kwamba ujio wake ulifanya Tanzania kuingia kwenye headlines za vyombo vya habari vya kimataifa mara nyingi mfululizo kuliko hata ujio ya Rais Bush kipindi hicho, Obama bado ameendelea kuongelewa kwenye mitandao ya kijamii kwenye page za Watanzania ambao wengine wao pia wamekua wakiutumia ujio huo kwenye utani wa kufananisha na kitu fulani.

0 Response to "Picha ya Obama aliyopost Rais Kikwete facebook leo kwenye album ya ‘The Historic visit’"

Post a Comment