Latest Updates

Tyga na Drake Beef lazidi kukua,Sasa Washambuliana kwenye Mitandao Ya Kijamii


Lile Beef la wasanii wawili waliopo katika kundi moja la YMCMB Tyga na Drake sasa limezidi kuchuklua sura mpya na kumhusisha mwanadada aliekua na mahusiano na Tyga itwae Black Chyna
Mwishoni mwa juma lilipoita Tyga alianza kupost katika Instagram  Picha iliomuonesha yeye akiwa sambamba nna msichana toka katika familia ya kina Kardashian aitwae Kylie Jenner wakiwa katika mavazi maalum ya sherehe ya kila mwaka ya huko Marekani ya Halloween.
Baada ya picha hiyo Black Chyna alijitokeza na kuanza kuanza ku like picha za Drake hatua iliomkasirisha Tyga na kuanza mashambulizi ambayo yalilenga kuelekea akisema huyo si kahaba wangu
Drake alijibu mashambulizi ya kudhihaki baada ya kuweka picha ya pili iliomuonesha yeye akiwa na Kylie Jenner kwa Nyuma yake ambapo ilifuatiwa na picha nyingine aliyopost Black Chyna akiuliza kua umenimiss?kamwe hautanisahahu na mfululizo wa tweets nyigine za malumbano
Katika Tweets zingine mwanadada Black Chyna alisema kwamwe hakuwahi kumpenda Tyga bali alikua anafuata hela zake tu lakini alikri kua alimchukua katika klabu za wachojoaji Nguo na kumpatia familianzuri na pia alimsaidia kupunguza tabia yake ya ulevi

0 Response to "Tyga na Drake Beef lazidi kukua,Sasa Washambuliana kwenye Mitandao Ya Kijamii"

Post a Comment