Latest Updates

LADY JAY DEE ABADILI MAJINA YA BAND YAKE


                                
Jide amesema "kwa sasa hakuna Nyumbani Lounge ila patakuwa panaitwa MOG Na show zake na The Band zitakuwepo kama kawaida, Machozi Band kwa sasa itajulikana kama Lady Jaydee and the Band tu"

Jide pia ameniambia kuwa "Tumeondoa kulia lia so mimi sio machozi tena, itabaki Komando na anakonda"

Lady jay Dee ameniambia kuwa November mwishoni atatoa wimbo alioupa jina "Forever" na kashirikishwa mdogo wake Dabo ambaye ni msanii we reggae hapa Tanzania. Wimbo umefanyikaCombination Sounds kwa Man Water.

0 Response to "LADY JAY DEE ABADILI MAJINA YA BAND YAKE"

Post a Comment