Latest Updates

BAADA YA KURUSHIWA MANENO, MISS UGANDA ATOA YA MOYONI


Leah amesema kuwa, Urembo si namna ya muonekano wa nje bali ni kilicho ndani ya mtu na kile anachoweza kuonesha dunia, huku akikazia kuwa yupo tayari kuiwakilisha nchi yake katika mashindano ya Miss World mwezi Desemba mwaka huu.

Kufuatia mrembo huyu kukosolewa sana mtandaoni, watu maarufu pia kama Bobi Wine na Anne Kansiime wamemtetea mrembo huyu na kutaka watu kuacha kumkosoa mrembo huyu bila kufahamu ni kwa namna gani amepambana kushinda nafasi hii.

0 Response to "BAADA YA KURUSHIWA MANENO, MISS UGANDA ATOA YA MOYONI"

Post a Comment