Mwanadada Laveda kutoka Tanzania akilakiwa kwa shangwe alipoingia ndani
ya jumba la Big Brother Africa Hotshots usiku wa leo baada ya kushinda
kwa kura nyingi sana shindano la vipaji ambapo kila mshiriki alipewa
nafasi ya dakika tatu kuonesha kipaji chake. Laveda aliingia na
Saxophone na kufurahisha kadamnasi kwa umahiri wake na hatimaye akapewa
cheo cha kiongozi wa nyumba wa kwanza katika onesho hili kwa mwaka huu.
0 Response to " TANZANIA YAANZA VYEMA KATIKA SIKU YA KWANZA YA BIG BROTHER AFRIKA"
Post a Comment