Muigizaji wa kike, Gabrielle Union na mpenzi wake Dwyane Wade waliofunga ndoa August 30 huko Miami wako katika mapumziko na fungate aka honeymoon katika maeneo ya Serengeti Tanzania naMaldives .
Jana, walishare kwenye Instagram baadhi ya picha za safari yao wakijiachia ufukweni wa bahari ya Hindi na Serengeti .
"When the Indian Ocean is ya swimming pool ... You dive in! But first... Play that @beyonce baby.” Aliandika kwenye picha hii.
0 Response to "Picha: Gabrielle Union na Dwyane Wade washare picha za 'fungate' wakiwa Serengeti"
Post a Comment