![]()
posted 4 hours ago by admin
Tanzania imepata nafasi kubwa katika shirika la habari za burudani BET lililoko chini ya kampuni ya Viacom Inc, baada ya mtanzania Kay Madati kuteuliwa na kampuni hiyo kuwa makamu mkuu wa rais (Executive Vice President) na pia Chief Digital Officer.
Kufuatia uteuzi huo, Madati atakuwa na kazi ya kuziongoza timu zote za BET kwenye mitandao ya kijamii na mitandao mingine inayounganishwa na BET.com (BET Networks), pia katika uzalishaji wa vipindi na uendeshaji wa teknolojia na bidhaa.
“We are thrilled to welcome Kay to the team, and look forward to his expertise and strategic leadershipin the fast-paced world of digital and social media, as consumers continue to turn to BET to discover what is hot and what is next.” Alisema Mwenyekiti mtendaji wa BET, Debra L. Lee.
Madati atakuwa chini ya mwenyekiti huyo mtendaji wa BET.
|
Mtanzania ateuliwa kuwa Makamu wa rais wa mitandao ya BET
Related Post:
VIONGOZI MBALIMBALI WAUAGA MWILI WA MAREHEMU BALOZI FULGENCE KAZAURA KATIKA KANISA LA MT. PETER JIJINI DAR Jeneza lenye Mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Marehemu Ba… Read More
MERCY JOHNSON AZIDI KUSHIKA KASI &nbs… Read More
UKWA ATIMIZA MIAKA 34 … Read More
JE KUPIGIWA GOTI NA KUOMBWA MSAMAHA NI UDHALILISHAJI? … Read More
BIFU KATI YA DIAMOND NA ALLY KIBA LAZIDI KUFUKA MOSHI Kw… Read More
Posted by Unknown
on Thursday, September 11, 2014,
Add Comment
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Response to "Mtanzania ateuliwa kuwa Makamu wa rais wa mitandao ya BET"
Post a Comment