Latest Updates

Picha: Profesa Jay amuonesha 'mama mtoto wake', 'Mama Lisa'


Profesa Jay amemuonesha mwanamke ambaye anaweza kuwa Mrs. Joseph Haule ambaye amemtaja kama mama mtoto wake.
Kupitia Instagram, Profesa amepost picha akiwa na mwanamke huyo na kuandika, “OF COURSE ni Baba LISA na Mama LISA. .... What more can I SAY?? #MWANALIZOMBE.”
Ukiiangalia kwa makini picha hiyo utagundua kuwa Profesa ameshikilia fimbo na mavazi ambayo alikuwa anafanyia shooting ya wimbo wake 'Tatu Chafu'. Usiongeze neno. Chukua sentensi alizoandika mkubwa.

0 Response to "Picha: Profesa Jay amuonesha 'mama mtoto wake', 'Mama Lisa'"

Post a Comment