Latest Updates

WEMA AKANUSHA TAARIFA ZA UJAUZITO



HATIMAYE msanii wa fiilamu nchini Wema Sepetu, amekanusha uvumi uliokuwa ukidai kuwa ni mjamzito ikidaiwa kuwa na mimba ya wiki saba.
Muigizaji huyo wa kike, ambaye inasemekana anatajwa kuwa ni mmoja kati ya wasanii wa kike wanaofuatiliwa zaidi kwenye mitandao ya kijamii amezikanusha tetesi zinazosambaa kuwa ni mjamzito.

Kupitia Instagram, Wema ambaye ni mpenzi wa Diamond amezikana tetesi hizo na kueleza kuwa anawish angekuwa mjamzito kweli. 

“Jamani hizi habari za mimi kuwa pregnant.... sijui watu wanatolea wapi... Im NAT... Dah... I wish I was... But im nat wapenzi wangu... ” Ameandika Wema Sepetu.

0 Response to "WEMA AKANUSHA TAARIFA ZA UJAUZITO"

Post a Comment