Latest Updates

TAARIZA ZA MATIBABU 'ZABEBWA'

Jedwari lenye taarifa za matibabu za gwiji wa mbio za magari ya formula 1, Michael Schumacher limedaiwa kuibwa na watu wasiojulikana kwa lengo la kuliuza.

Kwa mujibu wa BBC, meneja wa Schumacher, Sabine Kehm ameeleza kuwa bado haijajulikana kama documents zilizoibwa ni halisi lakini wanafahamu kabisa kuwa zimeibwa na hazipo hospitali hivi sasa.

Meneja huyo ametahadhalisha mtu yeyote atakayenunua au kuchapisha taarifa hizo kuwa atakubwa na mkono wa sharia kwa kuwa kufanya hviyo ni kuvunja sheria.

Schumacher mwenye umri wa miaka 45 alipoteza fahamu baada ya kupata ajali December mwaka jana wakati kutereza kwenye barafu na aliwekwa kwenye chumba cha watu mahututi kwa muda mrefu.

0 Response to " TAARIZA ZA MATIBABU 'ZABEBWA'"

Post a Comment