Latest Updates

JE JELA LIMEMRUDISHA KWENYE MSTARI?


Doing well: Chris Brown displayed a fuller figure at his 'out of jail' party in Beverly Hills on Thursday
Picha za kwanza tokea Chris Brown atoke Jela zimetoka na kama wengi mlivyotegemea mtu akitoka jela za bongo anakua amekonda basi jiulize tena coz jamaa katoka jela huku akiwa ameongezeka unene hadi mtu unaweza kumuita kibonge. Birthday yake ya kusherekea miaka 25 ilikua tarehe 5 mwezi wa tano lakini sababu alikua yupo jela wakaamua kuiunganisha na sherehe ya kukaribishwa nyumbani .

Surprise! Karrueche Tran led the freshly released rapper blindfolded to the party

Surprise: Karrueche and friends welcomed Chris home with open arms and a loud banner

Inaelekea maisha ya jela yalikua mazuri sana kwa Chris.Kilichobaki kwa chris sasa ni kutoa ring yake puani na kuanza kuachia ngoma kali

Surprise! Karrueche Tran led the freshly released rapper blindfolded to the party

Chris Brown aliachiwa tarehe 2 mwezi wa 6 baada ya kukaa jela kwa siku 59. Kwenye Sherehe hiyo kulikua na mama yake, girlfriend wake Karrauche Tran, Tyga, T-Pain na bikini models wa kutosha
Worth the wait: Chris gave his girlfriend Karrueche a big kiss at the bash that she arranged

She's with him: Karrueche showed how much she missed Chris too while he was in jail by cuddling up to him some more


Armful: Chris hugged Karrueche and a lady friend at the fun party

0 Response to "JE JELA LIMEMRUDISHA KWENYE MSTARI?"

Post a Comment