Latest Updates

Baada ya kushambuliwa, Jay Z na Beyonce waonesha mtindo mpya wa nywele za mtoto wao


Jay Z na Beyonce wameamua kubadilisha mtindo wa nywele za mtoto wao Blue Ivy ikiwa ni siku chache baada ya watu kuanzisha kampeni  (petition) ya kuwashinikiza kumchana nywele.
Wasanii hao wameonekana wakiwa kwenye yatch na mtoto wao huko Miami wakati wanaendelea na ‘On The Run Tour’ na wakiwa na furaha huku nywele za mtoto wao zikiwa kivingine.
Haijaeleweka kama petition ile ndio chanzo cha wao kubadili mtindo wa nywele za Blue Ivy ama ni mpango wa maisha yao tu ya kawaida..

0 Response to "Baada ya kushambuliwa, Jay Z na Beyonce waonesha mtindo mpya wa nywele za mtoto wao"

Post a Comment