Filamu ya Six times two imekamilika na inatarajia kutoka Tarehe 22. May.
2014, sinema hiyo ambayo imetengenezwa na mtayarishaji na mwigizaji wa
filamu Zamo Chambo na kuwashirikisha wasanii nyota kama vile Jack
Wolper,
“Ni kazi ambayo nimeifanya kwa ustadi mkubwa kabisa, ninatarajia kuwa
wapenzi wa filamu Bongo watafurahia kuiona kazi inayoelimisha na
kufundisha kwa jamii yetu,”
0 Response to "FILAMU YA SIX TIMES TWO IKO TAYARI KUINGIA SOKONI"
Post a Comment