Wyclef Jean amekuwa akijulikana kama msanii mkubwa na mwenye
uzito mkubwa katika musiki duniani. Lakini kwa mujibu wa mhasibu wake,
anaweza kuishia kufilisika kama wasanii wengine ambao wameshakuwa katika
nafasi kama yak wake.
Kwa mujibu wa taarifa iliyowekwa tarehe 21 mwezi machi, 2014 na mtandao
wa The Smoking Gun, Wyclef anadaiwa na serikali dola za kimarekani
milioni 2.9 (sawa na shilingi bilioni 4.75) za kodi. Smoking Gun imedai
kuwa Wyclef alikubali kuilipa dola 100,000 kampuni ya wanasheria ya
Shukat Arrow Hafer Weber and Herbsman ili kufutaa deni la dola 133,000.
Na kampuni hiyo ilikubali na kumambia kama angetoa dola 60,000 tu
wangemsamehe dola 40,000, lakini kwa bahati mbaya alishindwa kutoa pesa
hizo.
Inadaiwa Jean hakulipa hata senti moja katika deni la dola 100,000
anazodaiwa na kampuni hiyo. David Levin, ambaye ni mhasinbu wa Jean
alituma barua pepe mwezi januari kwa mmoja wa wanao mdai jean ikiwa na
ujumbe unaosema “kwa lugha ya kitaalamu kabisa…hakuna hela
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Response to " WYCLEF MATATANI"
Post a Comment