| Waziri wa habari ,utamaduni na Michezo Dk Fenera Mukangara akikabidhi mfano wa hundi ya sh Mil 2 kwa mshindi wa pili wa Haf Marathoni wanawake. |
| Washindi wa Half Marathoni wakiwa katika picha ya pamoja. |
| Mshindi wa kwanza wa Full Marathoni David Ruto akionesha mfano wa hundi ya sh mil 4 iliyotolewa kwa mshindi wa kwanza. |
| Kilimanjaro Marathoni imeshirikisha watu wa rika zote. |
| Mshindi wa kwanza wa Full Marathoni kwa upande wa wanawake Frida Lodepa wa Kenya. |
| Mshindi wa kwanza wa Half Marathoni ,Jackline Sakilu akihitimisha mbio. |
| Mbio za Kilimanjaro marathoni zimetuunganisha. |
| Waliofanikiwa kumaliza mbio walishindwa kusimama na kuhitaji msaada. |
| Wenye ulemavu pia wameshiriki vyema mbio hizo. |
| Matibabu yalikuwepo kwa wale waliopata tatizo wakati wa mashindano. |
| Kampuni ya GAPCO ilisimamia zoezi la zawadi kwa washindi kwa wenye ulemavu. |
| Kila mwaka huwa kama siku kuu ya kuwakutanisha watu pamoja. |
| Walemavu wakiwa wamekusanyika baada ya mashindano. |
| Kawe Jogging club walisafiri toka Dar hadi Moshi kwa ajili ya Kilimanjaro Marathoni. |
| Wale wa mbio za kujifurahisha Vodacom Fun Run walijinyakulia na zawadi za kutosha toka Vodacom. |
| Wadau pia walikuwepo. |
| Wadau wakiwa katika maadalizi ya mbio za Vodacom Fun Run. |
| Msanii wa michezo ya kuigiza Mhogo Mchungu naye pia alikuwa karibu akifuatili mbio |
0 Response to "WAKENYA WAENDELEA KUTESA KILIMANJARO MARATHONI"
Post a Comment