|
Rose Ndauka akiwa
ameambatana na Meya wa Ilala, Jerry Slaa pamoja na baadhi ya wanafunzi
na wasanii wenzake kufanya usafi eneo la Mnazi Mmoja ikiwa ni kampeni ya
kufanya usafi jiji zima aliyoianzisha kwa kujitolea kuwa balozi wa
usafi |
MSANII wa filamu nchini Rose Ndauka akiwa na baadhi ya wasanii wenzake
pamoja na Meya wa Ilala Jerry Slaa akifanya usafi eneo la Mnazi Mmoja
jijini Dar es Salaam, ikiwa ni moja ya uzinduzi wake wa kampeni ya 'Amka
Badilika, Nga'risha Tanzania'
0 Response to " ROSE NDAUKA AJIPA UBALOZI WA USAFI"
Post a Comment