Latest Updates

PICHA::Ridhiwani ashinda Kura za maoni CCM kuwania kiti cha Ubunge jimbo la Chalinze


Ndg.Ridhiwani Kikwete Mgombea wa ubunge katika Kura za Maoni za CCM jimbo la Chalinze akijipigia Kura  , pia akipanga mstari katika uwakilishi wa Kata anayotoka ya Msoga.Ridhiwani Kikwete kashinda kwa kupata kura 758 kati ya kura 1321,Ilikuwa hivi:_1.Ridhiwani Kikwete kura 758 2.Shaban Iman Madega kura 335 3.Athuman Ramadhan Maneno kura 206 4.Changwa Mohamed mkwazu kura 12Kura zilikuwa 1363 zilizo Haribika 5 na Halali ni kura 1316
Wagombea wa Ubunge Chalinze kwa tiketi ya ccm walikuwa ni:-1.Ndg.Ridhiwani Kikwete, 2.Shaban Iman Madega, 3.Athuman Ramadhan Maneno 4.Changwa Mohamed mkwazu


Tarehe 9/3/2014 KUCHUKUA FOMU 
Tarehe 11/3/2014 KURUDISHA 
Tarehe 15/3/2014UZINDUZI RASMI WA KAMPENI ZA CCM
NA DJ SEK 

0 Response to " "

Post a Comment