MUIGIZAJI wa kike kutoka nchini Kenya, Lupita Nyong'o ametangazwa kuwa
mshindi wa tuzo ya Oscar katika kipengele cha muigizaji bora msaidizi wa
kike ambapo filamu ya utumwa '12 years a salve 'ndiyo iliyompa ushindi
huo.
Kisha Lupita akaongeza kusema, " Na iwe ukumbusho kwangu na kila mtoto kwamba kokote unakotoka, ndoto zako ni halisi.''
Sherehe ya kutolewa kwa tuzo hizo zimefanyika mjini Los Angeles nchini Marekani.
0 Response to "LUPITA ASHINDA TUZO YA OSCAR "
Post a Comment