
Taarifa mpya kutoka kwake ni kwamba jamaa sasa amebadilisha jina lake na kuamua kuitwa Frank Ocean ambalo ni jina analotumia kwenye muziki tu. Fahamu kuwa jina lake halisi ni Christopher Edwin Breaux .
Kwa mujibu wa sheria za Marekani ni lazima Frank atangaze kubadilisha jina kwenye magazeti mara nne kwa wakati tofauti ili kukubaliwa kuanza kulitumia kama jina lake halisi. Anaweza kufanya hivyo mara moja kwa wiki kwa mfululizo wa wiki nne. Sababu ya kufanya hivi ni kuhakikisha kuwa kama anatumia jina Frank Ocean kutapeli mtu basi ataweza kujitokeza na kufikisha kesi yake mahakamani.
0 Response to "FRANK OCEAN AJITANGAZA KUWA NI SHOGA "
Post a Comment