Latest Updates

Izzo Bizness Kuachia Wimbo Wake mpya Wa “Tummoghele” Wiki Hii…Likiwa ni neno la Kinyakyusa, “Tummoghele”lina maana ya ‘Tumfurahie’ ukiwa una lengo la ku party na shangwe zaidi…Akitokea Mbeya City,Izzo Bizness anatarajia kuachia ngoma hiyo siku ya keshoAlhamisi.
 Mzigo huu ambao umetengenezwa na producer mpya aitwaye Duppy, wa Upraise Music toka Mbagala japo mixing ameisimamia Master J. Unategemewa kuwa mdundo mkali hasa ukizingatia Duppy, ni producer mpya kwenye gemu hii ya muziki.chanzo gongamx

0 Response to "Izzo Bizness Kuachia Wimbo Wake mpya Wa “Tummoghele” Wiki Hii…"

Post a Comment