Latest Updates

IKE HANA MPANGO WA KURUDIANA NA MUMEWAKE

Muigizaji Chika Ike, amebainisha kuwa hana mpango wa kurudiana na mumewe kama inavyovuma kwenye mitandao kwani hataki kukumbuka mambo ya zamani.

Ike alishawahi kuolewa na Tony Eberiri mwaka 2006, na kuachana mwaka 2013hivi sasa imekuwa gumzo miongoni mwa wadau wa filamu wengi wao wakiamini kuwa wawilli hao wanaweza kurudiana.

0 Response to "IKE HANA MPANGO WA KURUDIANA NA MUMEWAKE"

Post a Comment