Latest Updates

BONGO MOVIE WAJIUNGA CCM

Wasanii wa filamu na muziki wa kizazi kipya nchini jana wametangaza kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakati wa sherehe za kutimiza miaka 37 ya chama hicho zilizofanyika katika Uwanja wa Sokoine mkoani Mbeya.

Wasanii hao walikabidhiwa kadi za chama hicho na Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete wakati wa kilele cha maadhimisho ya sherehe hizo.

0 Response to "BONGO MOVIE WAJIUNGA CCM"

Post a Comment