Latest Updates

HII NDO KUFURU YA PESA YA MCHEZAJI..'SAMUEL ETO’O' HAYA NDIYO MAGARI YA KIFAHARI ANAYOMILIKI NA ANAYOPENDELEA

 Huyu ni Mka Cameroon anayesakata Kabumbu la kulipwa huko barani Ulaya, kwa sasa anaichezea Timu ya Chelsea, Pia Samuel ni mchezaji wa timu ya Taifa ya Cameroon. Eto'o hivi karibuni ameonekana kutisha sana katika kabumbu analocheza huko ulaya. Tarehe 19 mwezi huu aliweka historia kubwa katika maisha yake kwa kupiga Hat trick kwa kuifuna Manchester united bao 3-1 na kufanikiwa kunyakuwa mpira kama zawadi.Pia Kati ya Vitu samwel Eto'o anavyovipenda katika maisha yake ni kuwa na Magari ya Kifahari. Hayo hapochini ni baadhi ya Magari ya kifahari anayomiliki mchezaji huyu mkameruni. Nukuu Eto'o said: "I like to have a few cars because it gives me choice and it doesn't hurt anybody. To give happiness, the first thing is to be happy oneself, and I am."

Maybach Xenatec Coupe worth £750,000


Aston Martin V12 Zagato, worth at £450,000Bugatti Veyron worth at £1.55m
Credit:charleslimelight.blog

0 Response to "HII NDO KUFURU YA PESA YA MCHEZAJI..'SAMUEL ETO’O' HAYA NDIYO MAGARI YA KIFAHARI ANAYOMILIKI NA ANAYOPENDELEA "

Post a Comment