Latest Updates

AUNT EZEKIEL ASHANGAZWA KUKAMATWA KWA MUMEWAKE
MSANII wa filamu nchini Aunt Ezekiel ameweka wazi juu ya tukio la kukamatwa kwa mumewake na kudai kuwa amekamatwa kutokana na viza yake kuisha ambapo alishikiliwa kwa muda na alipokamilisha taratibu aliachiwa.
Mume wa msanii huyo anajulikana kwa jina la Sunday Demonte ambapo msanii huyo alidai kushtuka baada ya kupokea taarifa hizo hali ambayo imezidi kumshangaza ni baada ya taalifa hizo kuvuma

0 Response to "AUNT EZEKIEL ASHANGAZWA KUKAMATWA KWA MUMEWAKE "

Post a Comment