Latest Updates

VIDEO YA 'SUGUA GAGA' YATOWEKA MTANDAONI

Baada ya video ya msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Shaa kuvunja rekodi za video zake zote kwa kuangaliwa zaidi ya watu 20,000 kwa muda wa siku tatu, video hiyo imetoweka katika mtandao wa youtube

STORY    by Zourha Malisa

0 Response to "VIDEO YA 'SUGUA GAGA' YATOWEKA MTANDAONI "

Post a Comment