Latest Updates

NICKI MINAJ KUJA NA ALBAMU NYINGINE

 
Baada ya kutoa albamu yake iliyojulikana kwa jina la Pink Friday miaka miwili iliyopita Nicki Minaj sasa yupo katika maandalizi ya kukamilisha albamu yake nyingine huku akidai kuwa sasa kazi imeshaanza.

Katika moja ya mahojiano aliyoyafanya hivi karibuni Rappa huyo alidai kuwa 'sound' ya nyimbo za albamu yake mpya itakuwa tofauti hali itakayomuonesha kitu cha tofauti katika albamu yake hiyo.

Alidai kuwa wapo baadhi ya wasanii wa Young Money wameombwa kushirikishwa kwenye nyimbo za albamu hiyo hivyo atachagua yupi anayefaa.
STTORYY by Zourha Malisa

0 Response to " "

Post a Comment