Latest Updates

RIHANNA NA DRAKE 'MAMBO YAO POA'


Rihanna amethibitisha kuwa ni shabiki wa Drake, huku kwa upande wake Drake pia amethibitisha hili kuwa wawili wapo pamoja kwa upande wa kushabikiana kazi zao.

Hali hiyo imetokea hivi karibuni baada ya Rihanna kuhudhuria onesho la rapa huyo jijini Dallas nchini Marekani akiwa amefuatana na mpambe wake Melissa Ford alionyesha kulipa fadhila za Drake kuhudhuria onesho lake la Houston

0 Response to "RIHANNA NA DRAKE 'MAMBO YAO POA'"

Post a Comment