Latest Updates

K.MICHELLE AMSHUKIA MPENZI WAKE WA ZAMANI

Muimbaji K.Michelle amemshukia vikali mpenzi wake wa zamani anayejulikana kwa jina la J. R Smith, kwa kitendo cha kuulizwa kama bado yupo kwenye mahusiano na mwanaume huyo.

Hali hiyo imetokea kwa njia ya simu ambapo kimwana huyo mpya alimpigia simu na kumuuliza kama bado yupo na mwanaume huyo.

0 Response to "K.MICHELLE AMSHUKIA MPENZI WAKE WA ZAMANI "

Post a Comment