Latest Updates

MILEY CYRUS AWASHUKIA WANAOMKATISHA TAMAA


Mwanamuziki mwenye vituko Miley Cyrus, ameamua kuwashukuru Kanye West na Katy Perry kwa kumuunga mkono na kuwalaumu wale wote wanaomkatisha tamaa.
Miley aliweka wazi kuwa pamoja na kufanya kazi inayofanana na Perry bado alikuwa upande wake ni ni mmoja kati ya watu wanaompa moyo katika kazi zake.
Alifafanua kuwa ushauri wa Kanye ameupokea na kumuomba awe na moyo huo kutokana nakuwa na tofauti kubwa ya umri wake

0 Response to "MILEY CYRUS AWASHUKIA WANAOMKATISHA TAMAA "

Post a Comment