Latest Updates

MASOGANGE ATOKEA NA VAZI LA UFUKWE

Msanii wa kike anayeonekana kwenye baadhi ya video za muziki wa bongo fleva nchini Agnes Gerlad 'Masogange' ameanza tena vitu ambapo hivi sasa ameonekana ametuma picha inayomuonesha akiwa na vazi la ufukweni, huku likimuonesha sehemu kubwa ya mwili wake.

Mwanadada huyo ametuma picha hizo kwenye mtandao wake wa Istagram huku kukizuka na majadala mkubwa juu ya muonekano huo.
 by Zourha Malisa

0 Response to "MASOGANGE ATOKEA NA VAZI LA UFUKWE "

Post a Comment