Latest Updates

JOKATE MUHUSIKA MKUU FILAMU 'MIKONO SALAMA'


Muigizaji ambaye pia ni mtangazaji Jokate amepata shavu tena la kuigiza katika filamu iliyopewa jina la 'Mikono Salama' huku akiwa yeye ndiye muhusika mkuu wa filamu hiyo.

Filamu hiyo ambayo pia imechezwa na Iren Uwoya, pamoja na Richi Rich ambayo imefanywa kwenye kampuni ya msanii mwenzao JB

0 Response to "JOKATE MUHUSIKA MKUU FILAMU 'MIKONO SALAMA'"

Post a Comment