Latest Updates

2015 Kumrudisha Ja Rule Kwenye Muziki

Rapper Ja Rule ambaye amekuwa kimya kwenye muziki baada ya kutoka jela amezunumzia uwepo wa album mpya mwaka 2015. Kwenye interview aliyofanyiwa hivi karibuni Ja Rule amesema “ Nina album kama tatu ambazo ziko tayari na nitaanza kutoa single 2015, sitatoa album nzima mapema “ Hivi karibuni Ja Rule aliimbwa kwenye wimbo wa Asap Ferg aliofanya na Big Sean uliopewa jina “Ja Rule ” , alipoulizwa kuhusu single hii alisema ” Ni mapenzi ya ukweli huyu jamaa kaonyesha, nilifurahishwa sana na kazi yao wote wawili “

0 Response to "2015 Kumrudisha Ja Rule Kwenye Muziki"

Post a Comment