Latest Updates

USHER RAYMOND AWEKA UKWELI HADHARANI JUU YA UHUSIANO WAKE


Mapenzi Ni Kitu Ambacho Kina Nguvu Sana Katika Dunia Mwanamuziki Usher Raymond Ameamua Kuweka Siri Zote Hadharani Licha Ya Kuwa MpenziWake Huyo Amemzidi Umri.

Lakini Amemsifia Kwa Kusema Ni Mwanamke Mwenye Mapenzi Ya Kweli Pia Ni Mshauri Wake Mkubwa Sababu Amechukuwa Nafasi Kubwa Katika Maisha Yake.

Ni Mwanamke Mwenye Kujituma Na Mwenye Ubinadamu Pasipo Kujali Umaarufu Wa Usher "nampenda Sifikirii Kuachana Nae Ni Mwanamke Ambae Anajitambua".

Mpenzi Wake Anaitwa Grace Miguel Na Ndio Meneja Wake Ambae Anasimamia Kazi Zake Zote Za Muziki Na Mambo Yake Mengine.

0 Response to "USHER RAYMOND AWEKA UKWELI HADHARANI JUU YA UHUSIANO WAKE"

Post a Comment