Latest Updates
Home »
Uncategories »
MILCA KAKETE ACHUKUA TUZO KATIKA MASHINDANO YA MUZIKI WA INJILI.
MILCA KAKETE ACHUKUA TUZO KATIKA MASHINDANO YA MUZIKI WA INJILI.
Muziki wa injili Tanzania unazidi kukua na kupanuka kwa wigo wake ukiacha miaka kadhaa hapo nyuma.Mwanamzuiki wa Injili Milka Kakete ambaye alijipatia ushindi katika mashindano ya kimataifa ya muziki wa Injili yaliofanyika katika jiji la Maryland na Milka Kakete ambaye ni Mtanzania anayeishi Canada aliibuka mshindi katika mashindno yaliojumuisha wanamuziki wa Injili kutoka nchi mbali mbali za Afrika. Hii ni sehemu ya mahojiano na kituo kikubwa cha Radio kilichopo Marekani VOA baada ya kupata ushindi huo.
0 Response to "MILCA KAKETE ACHUKUA TUZO KATIKA MASHINDANO YA MUZIKI WA INJILI."
Post a Comment