Latest Updates

AFSA KAZINJA ABADILI DINI

         
Msanii wa Bongo Fleva Hasfa Kazinja ameandika kwenye ukurasa wake wa facebook kwamba amebadili dini na sasa anajulikana kama Christina Kazinja, msanii huyo ambaye  alitamba na wimbo wake wa Pressure aliomshirikisha Banana Zorro.,

0 Response to "AFSA KAZINJA ABADILI DINI "

Post a Comment